Mganga Mkuu mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro, Dk Daniel Nkungu amesema mabaki ya mwili mmoja kati ya mitatu ya waliofariki kwenye ajali ya malori yaliyowaka moto Msamvu ...
Akiwahutubia rais Magufuli aliwaagiza viongozi wa manispaa ya eneo hilo pamoja na viongoizi wa mkoa wa Morogoro kuwaacha ... eneo la kituo cha mabasi cha Msamvu. Vilevile rais Magufuli alimuagiza ...
Ajali hiyo ilitokea mapema Jumamosi mwendo wa saa mbili asubuhi wakati ambapo lori hilo lililokuwa linatoka Dar es Salaam limepinduka karibu na Kituo Kikuu cha Mabasi cha Msamvu baada ya dereva wa ...