Waswahili husema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, Je unajua matumizi yote ya tumbaku ? Mkoani Tabora nchini Tanzania wanawake wamekua wakitumia Tumbaku ili kupunguza hamu ya tendo la ndoa.
Malawi ni miongoni mwa nchi zinazozalisha tumbaku kwa wingi duniani. Uchumi wa nchi hiyo iliyoko kusini mwa bara la Afrika unategemea kilimo cha zao hilo kwa asilimia 75. Ikiwa leo ni siku ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results