News

Hali imeendelea kuwa tete kutokana na kukatika kwa barabara ya Ifakara-Malinyi na wananchi wanaotegemea barabara hiyo ...
Serikali imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh. Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema hayo ...
Sheria hii mpya inagusa wasindikaji wote wakubwa na wadogo wa bidhaa za unga wa mahindi, unga wa ngano, mafuta ya kula na ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bara Stephen Wasira amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni chanzo cha ...
MOROGORO: SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 30 kukarabati barabara muhimu ...
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa majeshi na mtoto wa rais Yoweri Museveni, amekutana siku ya Jumanne, Aprili 22, karibu na Kampala, Uganda, na ujumbe uliowasilishwa kama "viongozi wa Codeco ...
Kulingana na msemaji wa makamu wa rais wa Marekani, Bw. Vance na Bw. Modi watafanya kwanza mkutano wa nchi mbili, kabla ya Bw. Modi kumpokea kwa chakula cha jioni. Narendra Modi na JD Vance ...
Siku iliyotangulia, vikosi vya Israel vilitoa onyo jipya, vikiwataka wakazi katika baadhi ya maeneo kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuhama. Mkuu wa majeshi ya Israel, Eyal Zamir, alisema Aprili 24 ...
"Simulizi ambazo tumekuwa tukisikia ni za kutisha," Noah Taylor, mkuu wa shughuli za Baraza la Wakimbizi la Norway, aliambia kipindi cha Newsday cha BBC. Watu wanakimbia el-Fasher kwenda Tawila ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru, ametoa salamu zake za rambirambi, kufuatia kifo cha Papa Francis. Ishiba amesema katika taarifa kwamba “amesikitika sana kusikia habari hiyo.” Amesema ...
ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Jimbo la Vatican chini ya Papa Francis cheo kinachomfanya kuwa mshauri mkuu wa Papa. Pia anasimamia Curia ya Roma, ambayo ni utawala mkuu wa Kanisa. Kwa kuwa amewahi ...