News
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amehimiza watanzania kujiandaa na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 bila kuwa na ...
Lundenga amefariki dunia leo Jumamosi Apili 19, 2025 katika Hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam ...
Hali imeendelea kuwa tete kutokana na kukatika kwa barabara ya Ifakara-Malinyi na wananchi wanaotegemea barabara hiyo ...
WANANCHI wa Kijiji na Kata ya Mangae Tarafa ya Mlali, wilayani Mvomero, wameanza kunufaika na mradi wa maji uliojengwa na ...
MOROGORO: SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 30 kukarabati barabara muhimu ...
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa majeshi na mtoto wa rais Yoweri Museveni, amekutana siku ya Jumanne, Aprili 22, karibu na Kampala, Uganda, na ujumbe uliowasilishwa kama "viongozi wa Codeco ...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amemteua Eli Sharvit, kamanda wa zamani wa jeshi la wanamaji kuwa mkuu mpya wa Shirika la Ujasusi wa Ndani, Shin Bet, baada ya kumfuta kazi mtangulizi ...
Kiongozi wa kijeshi nchinik Gabon, Brice Oligui Nguema, amepata ushindi mkubwa kufuatia uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika mwishoni mwa juma lililopita, matokeo ya awali yakionesha amepata asilimia ...
Mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, UN amesema watu wanaokadiriwa kuwa milioni 17 nchini Myanmar huenda wameathiriwa na tetemeko kubwa la ardhi la mwezi uliopita. Anasema wanahitaji ...
Waziri wa Uhuishaji wa Uchumi Akazawa Ryosei aliteuliwa na Waziri Mkuu Ishiba Shigeru kuwa waziri anayeshughulikia mazungumzo ya biashara kati ya nchi hizo mbili. Uteuzi huo umekuja baada ya ...
"Simulizi ambazo tumekuwa tukisikia ni za kutisha," Noah Taylor, mkuu wa shughuli za Baraza la Wakimbizi la Norway, aliambia kipindi cha Newsday cha BBC. Watu wanakimbia el-Fasher kwenda Tawila ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results