News

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amehimiza watanzania kujiandaa na kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 bila kuwa na ...
Lundenga amefariki dunia leo Jumamosi Apili 19, 2025 katika Hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam ...
MKUU wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka (kulia) akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye makabidhiano ...
MOROGORO: SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 30 kukarabati barabara muhimu ...
Serikali imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh. Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema hayo ...
Jokate Mwegelo ni mwanamke mwenye umri wa miaka 34 na licha ya umri wake mdogo ni mkuu wa Wilaya ya Temeke , iliyopo Dar es Salaam Tanzania. Mbali na hilo pia ni mmoja ya wanawake waliofanikiwa ...