Dar es Salaam. Awali lilipotajwa jina G Nako, wengi kwenye vichwa vyao zilisikika ngoza za Hip-Hop, lakini kwa sasa imekuwa tofauti kwani msanii huyo ameendelea kuonesha uwezo wake wa kutambaa na ...