Watu saba wanaojiita ‘mabwana wa nidhamu’ wametiwa mbaroni kwa kosa la kuwakamata na kuwatesa walevi kinyume cha sheria huko nchini Kenya.