Watu wengi wamekuwa wakifika kwenye sehemu za starehe kama vile baa ambako nyama hiyo imekuwa ikiuzwa kwa wingi kama asusa au mlo kamili sambamba na ugali au ndizi. Pia zimeanzishwa bucha mbalimbali ...