Basata liliwataka wasanii kuacha kutunga nyimbo zinazochochea matumizi ya dawa za kulevya na badala yake ziwe na ujumbe unaopambana na dawa hizo.