News

Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba, Fadlu Devid amesema kutokana na ukubwa wa timu hiyo haikutakiwa kupata matokeo ya bao 1-0 ...
KOCHA Aykhan Farzukh wa timu ya Shamakhi FK anayoitumikia Mtanzania Alphonce Mabula amemtaja staa huyo kama kiungo ...
MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao ...
FISTON Kalala Mayele ni mtu hatari, lakini maisha yake ya soka yananichanganya kidogo. Huwa najiuliza kama alikuwa hatari ...
Mratibu huyo wa zamani wa shindano la urembo la Miss Tanzania, aliyekumbwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mrefu ...
MANCHESTER United inaangalia uwezekano wa kufanya mabadilishano na Aston Villa na inataka kumtumia Marcus Rashford ili ...
CHAMA cha Kikapu Mkoa wa Kigoma kimetamba kuwa na viwanja wanaochipukia katika mchezo huo ambao ni toleo jipya linalotarajiwa ...
Kwa miaka zaidi ya 20 katika muziki, Jay Moe amejizolea sifa kama rapa mwenye uwezo mkubwa wa kuandika mambo ya kufikirisha ...
MCHUANO kwa timu za wanawake utakuwa kwa klabu tano kati ya timu 11 zinazoshiriki Ligi ya Kikapu ya Wanawake Mkoa wa Dar es ...
KAMA wewe ni shabiki wa Yanga au Simba na una tabia ya kununua tiketi siku ya mchezo pindi timu hizo zinapokutana katika ...
PAMBA Jiji kwa sasa wanaumiza kichwa kuona ile ndoto yao waliyoiota kwa takribani miaka 23 kushiriki Ligi Kuu Bara, haipotei kwa haraka. Wanachokifanya ni kuweka mikakati mizito kuilinda ndoto hiyo.
WAKATI Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ikitangazwa kuchezwa mzunguko mmoja, huenda baadhi ya timu kongwe mfumo huo ukazifanya ziwe na wakati mgumu mara itakapoanza.