News

Hali imeendelea kuwa tete kutokana na kukatika kwa barabara ya Ifakara-Malinyi na wananchi wanaotegemea barabara hiyo ...
Sheria hii mpya inagusa wasindikaji wote wakubwa na wadogo wa bidhaa za unga wa mahindi, unga wa ngano, mafuta ya kula na ...
Serikali imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh. Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema hayo ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bara Stephen Wasira amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni chanzo cha ...
MOROGORO: SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 30 kukarabati barabara muhimu ...
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa majeshi na mtoto wa rais Yoweri Museveni, amekutana siku ya Jumanne, Aprili 22, karibu na Kampala, Uganda, na ujumbe uliowasilishwa kama "viongozi wa Codeco ...
Jengo la makazi limeharibiwa katika wilaya ya Sviatoshynskyi magharibi mwa mji mkuu wa Ukraine. Operesheni za utafutaji zilikuwa zikiendelea katika maeneo kumi na tatu jijini Kyiv na zaidi ya visa ...
Siku iliyotangulia, vikosi vya Israel vilitoa onyo jipya, vikiwataka wakazi katika baadhi ya maeneo kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuhama. Mkuu wa majeshi ya Israel, Eyal Zamir, alisema Aprili 24 ...
Waziri Mkuu wa Japani Ishiba Shigeru, ametoa salamu zake za rambirambi, kufuatia kifo cha Papa Francis. Ishiba amesema katika taarifa kwamba “amesikitika sana kusikia habari hiyo.” Amesema ...
"Simulizi ambazo tumekuwa tukisikia ni za kutisha," Noah Taylor, mkuu wa shughuli za Baraza la Wakimbizi la Norway, aliambia kipindi cha Newsday cha BBC. Watu wanakimbia el-Fasher kwenda Tawila ...
ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Jimbo la Vatican chini ya Papa Francis cheo kinachomfanya kuwa mshauri mkuu wa Papa. Pia anasimamia Curia ya Roma, ambayo ni utawala mkuu wa Kanisa. Kwa kuwa amewahi ...