News

Lundenga amefariki dunia leo Jumamosi Apili 19, 2025 katika Hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu na atazikwa Jumatatu katika makaburi ya Kidatu, ...
Mwakilishi wa Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro, Dk Rozalia Rwegasira ametoa pongezi hiyo kwa niaba ya serikali ya mkoa wakati wa ufunguzi wa Semina ya Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Jamii Kukabiliana ...
MADEREVA wa mbio za magari watakuwa mkoani Morogoro wiki ya Pasaka kushiriki mashindano wa mbio fupi zitakazobeba bango la Mount Uluguru Rally Sprint. Mashindano haya yanatarajiwa kushirikisha ...
Watoto watano, wawili kati yao waliokuwa wamekwama kwenye Mto Morogoro walipokwenda kufua nguo na kuzingirwa na maji, wameokolewa salama na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro.