ROTTERDAM, UHOLANZI: WACHEZAJI wengi wa soka wamebadilisha maisha yao kupitia soka. Wengi wametokea katika maisha ya chini na walipambana kadri wanavyoweza kuhakikisha wanatimiza ndoto zao. Hata hivyo ...