Miili miwili kati ya mitatu ya wachimbaji wa madini waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika Mgodi wa Nkadi, uliopo Mtaa wa Ilindi-Mwine, Kata ya Zongomela, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani ...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa onyo la dharura kwa wananchi kuhusu hatari inayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, pamoja na maporomoko ya ...